Mke wa Rais wa Marekani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika
ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea
katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa
WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu haya …



0 maoni:
Post a Comment