Pages

Tuesday, September 02, 2014

MAJINA YA WASANII WA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014 KUTANGAZWA ALHAMIS YA SEPTEMBA 4,2014

Majina ya Kuwania Tuzo za CHOAMVA(Channel O Africa Music Video Awards) 2014 yanatarajiwa kutangazwa Alhamis September 4 ,2014 ya Wiki hii,Swali ni Je, Ni Msanii Yupi wa Tanzania Ataiwakilisha/Wataiwakilisha Nchi Mwaka Huu?
 1208370_640571682707913_1475749909_n
Mwaka jana Msanii A.Y alikuwa Ni msanii pekee aliyeiwakilisha Tanzania katika Tuzo Hizo,Mwaka huu kuna uwezekano mkubwa Diamond Platnumz akatajwa kwenye vipengele kadhaa Kutokana Kuwa ni Msanii anayefanya Poa Kimuziki na Kuwa-Nominated katika Tuzo Mbalimbali mwaka Huu.



   

0 maoni:

Post a Comment

Labels