Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, March 28, 2013

MBUNGE AFARIKI DUNIA



MBUNGE wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF), ambaye alidondoka jana ghafla katika mkutano wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, amefariki dunia mchana wa leo hii.
MBUNGE wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF), ambaye alidondoka jana ghafla katika mkutano wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, amefariki dunia mchan huu.

 Salim alianguka jana saa tano asubuhi wakati akihudhuria mkutano wa kamati hiyo, uliokuwa ukifanyika katika ofisi ndogo za Bunge, jijini Dar es Salaam.

NYIMBO KUMI KALI ZA WIKI HAPA REDIO KITULO FM 29 na 30 MACHI 2013.



10:-Odemba – Empowerment Music Group E.M.G
09:-Always – Country Boy ft TID
08:-Nishai – Chibwa ft Juru
07:- Ball Player – Izzo B ft Ngwea,Quick Rocker & Ruth

KAMA ULIMIS KUSIKILIZA NYIMBO 20 KALI ZA REDIO KITULO FM JUMAPILI YA TAREHE 24 MACHI 2013 LIST HII HAPA.




20:-Ball Player – Izzo B ft Ngwea,Quick Rocker & Ruth [Ingizo Jipya]
19:-Naataka Leo – Alawi Jr ft Ommy Dimpoz [20]
18:-Odemba – EMG [Ingizo Jipya]

Wednesday, March 27, 2013

'SINA MAKOSA':- NI UJIO MPYA WA TIMBULO

BANANA ANAMPANGO WAKUFANYA KAZI NA WYRE

Banana

Banana Zoro, msanii wa muziki ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye chati mbalimbali za muziki kwa ngoma yake ya sio kama wale, ameamua kuweka hadharani kijisehemu cha mipango yake mikubwa kabisa ambayo anaifanya katika muziki wake kwa mwaka huu.

DEEK RICHARDS AFARIKI DUNIA...

Mwimbaji wa Muziki wa Pop Nchin Marekani na Mtunzi Maarufu
wa Kundi la Jackson 5 Amefariki Dunia....
Deek Richards amefariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka (59)

Monday, March 25, 2013

Sunday, March 24, 2013

KAMA ULIMIS TOP 10 TRACKS OF THE WEEK ZA REDIO KITULO FM TAREHE 22 MACHI 2013 HIZI HAPA

10:-Joto,Hasira - Lady JayDee ft Pro Jay
09:-Asante - Suma Mnazalet ft Dannyjoe

Wednesday, March 20, 2013

KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013 YAZINDULIWA LEO RASMI JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja wa Kinywaji cha Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza leo

Tuzo za muziki maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam zikiwa na dhumuni kubwa la kutambua wasaniii waliopata mafanikio katika sekta ya muziki kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita, sambamba na kuasiniwa kawa mkataba wa udhamini wa Tuzo hizo kati ya kampuni ya TBL na BASATA kwa miaka mingine mitano.

VIDEO AUDITIONS ZA CLOSER YA VEE KUANZA KUFANYIKA KESHO

 
Mchakato wa kuwatafuta warembo watakaoshiriki katika Video mpya ya Vanessa Mdee umeanza.
 
YEAH!!!    Auditions hizo zitaanza rasmi kesho [Tarehe 20 March] and this goes kwa wadada wote wazuri ambao wangependa kushiriki katika video mpya ya Vanessa "CLOSER" inayotarajiwa kuanza shooting hivi karibuni.

Auditions hizo zitakazofanyika katika eneo/ukumbi wa Azura Beach uliopo jijini Dar es salaam zitaanza saa 9 kamili...



Vanessa Mdee recently known as Vee Money amesema wasichana wote warembo wanakaribishwa kushiriki, wajue kucheza na pia wazingatie muda ambao umepangwa, yaani saa 9 alasiri... Muda ni wa kuzingatia zaidi ili watu wote watakaofika waweze kushiriki...

 Auditions hizo za video ya CLOSER, ngoma kali na inayofanya vyema sana katika music industry ya Bongo, Afrika and beyond kwa sasa, zitamshirikisha Vee herself (as she'll be there) kupata wale wote wanaopenda kushiriki nae katika video yake hiyo.

TIGER WOODS AVUTA KIFAA KIPYA.

NYOTA namba moja wa zamani duniani katika mchezo wa gofu, Tiger Woods na bingwa wa michuano ya olimpiki ya kuteleza kwenye barafu wa Marekani Lindesey Vonn wametangaza rasmi kuwa na mahusiano ya kimapenzi. 
 Wawili hao walitangaza taarifa hizo katika kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo walituma picha wakiwa pamoja na kumaliza uvumi uliokuwa umesambaa juu ya mahusiano yao. 
Woods amewahi kumuoa mwanamitindo kutoka Sweden Elin Nordegrem lakini walitalikiana mwaka 2010 baada ya nyota huyo tajiri kukiri kuwa na mahusiano na wanawake mbalimbali akiwa ndani ya ndoa yao. 
Woods mwenye umri wa miaka 37 amekuwa akihangaika kurejea katika kiwango chake toka kipindi hicho na sasa ameanza kuonyesha dalili za kurejesha makali yake ambayo yalimfanya atawale mchezo wa gofu kwa muongo mmoja.

ENTARTAINMENT UPDATES: LIL WAYNE ATOKA ICU



Rapa Lil Wayne baada ya afya yake kuonekana kuimarika siku hadi siku hatimaye ametoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU)na kuhamia katika chumba cha kawaida katika hospitali Cedars Sinai iliyopo jijini Los Angeles

Alikaa katika chumba hicho takribani siku 6 akiwa yupo chini ya uangalizi makini, alifikishwa hospitali hapo siku ya jumatano ya wiki iliyopita

Monday, March 18, 2013

[ LYRICS]:-KALA JEREMIAH FEAT. BEN POL - KARIBU DAR

kARIBU DAR LYRICS

intro: BROTHER TUMA EEE NGOJA KWANZA EE

PRODUCER MBEZI YOOH HAHA 0444 SMART MUSSIC

ubeti wa kwanza


pICHA LINAANZA KA MOVIE YA SOLOMON 

GHAFLA VUMBI LINAZIDI WAJANJA WANAVAA MIWANI
HII NDO DAR KARIBU ILA USIJISIKIE NYUMBANI 
HAPO UBUNGO USINUNUE SIMU UTAUZIWA SABUNI
PANDA DALADALA TUKUTANE BUGURUNI
KUNA WATU WANAPIGA NDOLE UTADHANIA MAJINI
KA NI USIKU UTAONA RANGI ZOOTE ZA BIKINI
WANAUZA MWILI ILI WANUNUE WALI MAINI

[PICHA]:-VANESSA MDEE NA MWANA FA NDANI YA BOOTH

 
Jana usiku it was one of those nights to remember kwani Vanessa Mdee recently known better as VeeMoney alikuwa studio with your favorite cousin, MwanaFA... BIG TINGS!!!

Vee, that lady anaefanya vizuri sana kwa sasa na ngoma yake ya CLOSER [ranked as one of the most downloaded song this year] alikuwa MJ RECORDS na FA wakirekodi ngoma ya pamoja ambayo bado haijajulikana.
MwanaFA crackin' it down...
 
VeeMoney ndani ya booth.
 
MwanaFA and Vee.

CHEKI ALICHOKIFANYA WIZKID KAMA SHUKRANI KWA KUFANIKIWA KIMUZIKI

Kufuatia mafanikio makubwa kimuziki ambayo msanii wa muziki wa Naijeria, Wizkid ama Weezy kama anavyojulikana sasa, mwishoni mwa wiki aliamua kufanya kitu cha kipekee huko Lagos kwa kufanya onyesho la bure kwaajili ya mashabiki wake.


Wizkid mwenyewe amesema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na ukweli kuwa kipaji cha kuimba amekipata bure bila kumpa Mungu kitu chochote.

Zaidi ya kupiga show bure, Msanii huyu pia aliamua kugawa mpunga kidogo kwa wapenzi wa kazi zake ambao walikuwa na bahati

Nicky Minaj nae amtembelea Lil wayne Hospitalini

Nicki Minaj

The best rapper alive kiongozi wa kundi la YMCMB mtu mzima Lil wayne juzi kati alikimbizwa Hospital Baada ya kuzidiwa na kudondoka chini na kupoteza fahamu mpaka mmoja wa walinzi wake alipomuona na kumkimbiza hospitali akiwa kwenye hali mbaya sana na kwa taarifa tulizo zipata ni kua Lil wayne mpaka sasa yupo kwenye chumba cha wagonjwa maututi "ICU" ambapo watu kibao walionekana hospitalini hapo wakiwemo members wa kundi lake kama "Nicki, Drake, Birdman, and Clippers star Chris Paul"
 
Taarifa zinasema kua Rapper huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa seizures. yani kwa lugha ya kiswahili ni Kifafa na imemtokea hivyo kwa mara ya tatu sasa na sababu ni kutumia madawa mengi sana yakulevya....

Sunday, March 17, 2013

Huu ni muunganiko wa wasanii watano wachanga wa bongo fleva


 Huu ni muunganiko wa wasanii watano wachanga wa bongo fleva ambao sooo watakuja kuwa wasanii wakubwa tanzania, Y TONY, MIRROR,SHADOOH,PAPAA MASAI,NA NUH. ambao wako chini ya mamenager tofauti ambao ni shabaha,hk,mr kapongo,bad, na muro ndio wanaowasimamia vijana hao kwa pamoja hivi karibuni wanategemea kufanya tamasha kubwa sana lakuzindua kundi hilo lenye vipaji vyakuimba.
new maisha club dar tar 7 april. na baada ya hapo watazunguka katika maeneo tofauti katika kujitangaza na kutambulisha kazi zao,shadoo anatamba na wimbo wake wa by show, wakati papaa masai anatamba na ngari ng'ari aliomshirikisha ali kiba, miro anatamba na wimbo wake wa mapenzi si kama zamani wakati y tony anatamba na kibao chake cha sijazoeea masebene. lengo la kundi hili ni kufikia malengo katika muziki kwa vijana hawa.

[COOMING SOON]:-OFFSIDE TRICK 'NIPE NIKUPE'



UKWELI KUHUSU UTAJIRI WA KIM KARDASHIAN HUU HAPA

Kim Kardashian

Baada ya tukio la kuibiwa kwa taarifa za siri za mastaa mbalimbali hivi juzi, sasa story mtaani zimemuelemea mwanadada Kim Kardashian kutokana na siri juu ya utajiri wake kuonyesha picha ya tofauti na yeye alivyo.

Imefahamika kuwa, licha ya umaarufu na dili zote ambazo Kim anazipiga, akaunti yake ya benki ina dola elfu 10 tu za kimarekani. (Hii ni sawa na shilingi milioni 16 na laki 2 tu za kitanzania).

Japo pesa hii inaweza kuonekana kama ni nyingi, lakini taarifa hizi zimeweka wazi pia kuwa, Mwanadada huyu ana deni la dola Milioni n5.6 ambazo amewekea dhamana Jumba lake lililokuwa huko LOS ANGELES ambapo kila mwezi anatakiwa kulipa dola elfu 26 sawa na shilingi milioni 42 na laki 2.

MAPACHA WASTAAFU KAZI YA UKAHABA BAADA YA MIAKA 50 WAKIWA WAMELALA NA WANAUME 355,000


Louise na Martine Fokkens wakiwa kazini.

MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya umri kuwatupa mkono na kudai kuwa kwa sasa hawapati wateja.

TAHADHARI KUTOKA KWA RAPPER YOUNG KILLER BAADA YA KUIBIWA KUPITIA FACEBOOK.


Young Killer Feki

ALICHO ANDIKA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU KUTEGEMEA KUPATA MTOTO.


Diamond Na Penny

WAKAZI Keeps It REAL With NEY WA MITEGO's New Track.

 
Jana kupitia mtandao wa Twitter, rapper kutoka UKONGA/Chicago, WAKAZI alitweet na kuandika anachoona kuhusu wimbo mpya wa NEY WA MITEGO "Muziki Gani"...
Wakazi alitoa opinions kuhusu wimbo huo wa Ney aliomshirikisha mwimbaji mzuri na anaefanya vizuri kwenye muziki kwa sasa, Diamond Platnumz na kuuita "Pumba Tupu"...
Imekuwa ni discussion kubwa katika mtandao huo so far ikimuhusisha mmoja wa waanzilishi wa Kundi la Hip-Hop, KWANZA UNIT "Zavara Rhymson" ikiukandia wimbo huo and mostly ikisema zaidi Ney Wa Mitego si msanii wa Hip-Hop...
See more tweets za WAKAZI aki-diss wimbo:

"Its a cry for attention"

"Kwanza Idea sio original" Na Ney ha represent Hip Hop, labda Rap" #DEAD

"Upuuzi!!"

_______________________________

Kwa Mara Ya Kwanza... Check Lulu Anavyofunguka Juu Ya Marehemu Kanumba...

 
Wakati zimebaki siku chache tu kutimia mwaka mmojatangu msanii marehemu Steven Kanumba afariki dunia, msanii Elizabeth Michael a.k.a Lulu, ambaye bado anakabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusidia ya msanii huyo, 
Lulu azungumza...
 
Ikiwa ni kwa mara ya kwanza, Lulu (@hotlulumichael) ametweet maneno kadhaa katika ukurasa wake wa twitter zikionesha na kuthibitisha anavyomkumbuka na kum-miss Marehemu Kanumba.
Cheki tweets zenyewe hapa chini:

TOP 20 JUMAPILI 17 MACHI 2013 [REDIO KITULO FM]




20:-Nataka Leo – Alawi Jr ft Ommy Dimpoz
19:-Promise – Shaa
18:-Nje ya Box - Nick ii ft Joh Makini & G-nako
17:-Dear God - Kara Jeremiah
16:- Pete – Ben Pol
15:-Closer – Vanessa Mdee ‘v’
14:-Mahakama ya Mapenzi - Linex
13:-Nitunzie – Hakim 5
12:-Me & U - Ommy Dimpoz ft Vanessa
11:-Wazo la leo - Stamina
10:-Sio mimi – made
09:-So crazy – Maua Sama ft Mwana FA
08:-Jambo Jambo - Steve RnB
07:-Nishike Mkono - Darasa ft Winnie
06:-Always - Country Boy ft T.I.D
05:-Listen - Belle 9
04:-Nikupe nini - Noorah ft Ali kiba
03:-Dear Gambe - Youn' Killer ft Belle 9
02:-My – Ally Nipishe
BONUS TRCK:-Maisha ni watu - Vumbe
01:-Kesho - Diamond Platinumz

Jumapili Njema!!!
Kwa Maoni/Ushauri Tutumie kupitia
Email:-ergonsanga@yahoo.com
Simu:-+255 755 894 663
Ahsante!.
@kitulo fm 2013

Wednesday, March 13, 2013

[Audio]:-MEZ B - KIDELA

NEW SONG...VERY HOT:-Download | Gill ft Matonya - Nitafanya nini [Audio]

Labels