Pages

Friday, November 09, 2012

SUMA LEE KUPANDA DALADALA MARA BAADA YA KUIBIWA MKOKO



Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Suma Lee anayekubalika na ngoma nzuri anazozitoa kwa mashabiki wake kama.

Hakunanga,Chungwa,Utanikumbuka na nyinginezo mpaka kupelekea mashabiki wa hapa Tzee kumkubali katika tasnia hii ya muziki sasa kama unakumbuka wiki kadhaa zilizopita msanii huyu aliibiwa gari lake maeneo ya Coco Beach sasa.

Latest info kutoka kwa msanii huyu asema kwamba kuanzia sasa ataanza rasmi kupanda Daladala baada ya kusema hivyo aliweza kufunguka na kutoa sababu na kusema kwamba maisha ni popote si lazima mtu au msanii achukue Bajaji au Tax usafiri ni usafiri tu.
Hivyo ndivyo alivyoamua kutiririka baada ya kuweka wazi kwamba ataanza kupanda Daladala.

0 maoni:

Post a Comment

Labels