Pages

Sunday, July 29, 2012

NEW TRACK: Momba & Juma Nature - Mdundiko

Mambo niaje ndg zangu??poleni na mfungo mtukufu wa ramadhani..!!hii ni ngoma mpya ya MOMBA ambayo safari hii kamshirikisha JUMA NATURE ngoma hii inaitwa MDUNDIKO.imefanywa na producer MAZOU kutoka MAZOU RECORDS.

Tunategemea sapoti yako sana hasa ukiwa kama mdau wa muziki wetu wa kitanzania..momba ni msanii ambaye ana rekodi kadhaa nyuma ambazo ni dar es salaam,gari,mimi sio sharobaro na kabwela...

+255 714 885380 MOMBA.
Na DJ CHOKA BLOG

0 maoni:

Post a Comment

Labels