Pages

Sunday, July 29, 2012

Rachel K wa Uganda kujaribu bahati American Idol ijayo



Mwanamuziki wa Uganda Rachael K amepanga kujaribu bahati yake kwenye mashindano ya American Idol mwaka huu.

Tayari ameshajiandikisha kwenye shindano hilo na yupo tayari kumface jaji mpya wa mashindano hayo, Mariah Carey.

July 19 kupitia ukurasa wa Facebook aliandika: “American Idol auditions tomorrow in Oklahoma City!??! Heading to registration now!!!

Kutokana na status hiyo watu wengi wa Uganda na kwingine walimtakia kila lakheri katika safari hiyo.

Kwa hisani ya leotainment

0 maoni:

Post a Comment

Labels