Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, January 27, 2014

MAREHEMU MZEE DUDE WA FUTUHI KUZIKWALEO JUMANNE HUKO MWANZA

Msanii wa kundi la FUTUHI linalo rusha kazi zake kupitia Star TV, Mzee Dude amefariki dunia leo mida ya saa 11 jioni akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando ya jijini Mwanza ambako alilazwa mara baada ya kuzidiwa ugonjwa wa muda mrefu aliokuwa nao kwa figo kushindwa kufanya kazi.
Enzi za uhai wake Mzee Dude alikuwa mchezhi na mbunifu wa hali ya juu kuwavunja watu mbavu.
Mzee Dude atazikwa kesho jijini Mwanza majira ya alasili na taarifa kamili utazipata hapa.

Mpiga tumba mahiri katika muziki wa dansi hapa nchini SOUD MOHAMED aka MCD amefariki dunia

Mpiga tumba mahiri katika muziki wa dansi hapa nchini SOUD MOHAMED aka MCD amefariki dunia usiku huu katika hospital iliyopo mjini Moshi inayoitwa KCMC mkoa wa Kilimanjaro. 

CIMG2415

Marehemu MCD alikwenda kutibiwa alikuwa akiumwa kwa siku kadhaa ingawa bado hatujapewa taarifa kamili ni kipi kilichokuwa kikimsumbua hadi mauti kumkuta.


Taarifa hizi za kifo cha MCD zimetolewa na msemaji wa bendi Twanga Pepeta Hassan Rehami.


MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SOUD MOHAMED MAHALI PEMA PEPONI.....Ameen.


SHILOLE aka SHISHI BYBEE tarehe 31.1.14 anakuja na WIMBO MPYA la kufungia mwezi January

IMG-20140127-WA0004

IMG-20140127-WA0003
Mwanadada SHILOLE aka SHISHI BYBEE anatarajia kutoa wimbo wake mpya kabisa kwa mwaka huu 2014 alioupa jina la CHUNA BUZI. 

Shilole ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie na pia ni msanii wa Bongo Fleva amesema kuwa anatarajia mambo makubwa sana kwa mwaka huu 2014 kama mungu atamjalia pumzi.

Shilole ambaye bado anatesa na kichupa chake kinachoitwa NAKOMAA NA JIJI amesema CHUNA BUZI nimwendelezo tu wa nyimbo zake lakini mashabiki wake wanaona kama majina anayoyachagua kukaa kwenye nyimbo zake yanaonekana kama anayaimba maisha yake.

Wimbo huu mpya ameufanyia pale Mazuu Rec chini ya Producer Mazuu.

Chanzo:-Dj Choka Music

RAPPER YOUNG KILLER MSODOKI AMERUDI CLASS

Young Killer Msodoki, rapper mwenye umri mdogo aliyefanikiwa kuiteka Tanzania na hata kuifikisha sauti yake Marekani na kumpata shabiki ‘mzungu’ aliyejirekodi na kuweka ujumbe wake youtube kueleza jinsi anavyomkubali, sasa amefanikiwa kuishi ndoto yake ya kujiendeleza kimasomo.

Rapper huyo ambaye hivi karibuni alieleza wazi kuwa anahitaji msaada wa kifedha ili aweze kurudi shule, ameingia rasmi darasani kusomea Information Technology (IT).

“Am..back…class…”, ameandika Instagram na kupost picha inayomuonesha akiwa anasoma huku ana headphone shingoni (Muziki na Shule).

Young Killer amejiunga na chuo kiitwacho ‘Green Pasture’ wiki mbili zilizopita. Kuanzia katikati ya mwaka jana, Young Killer alianza kuweka wazi wazo lake la kutaka kurudi shule na aliwahi kutaja masomo ya IT kuwa ndiyo ambayo angependa kusomea.

Tunamtakia kila la kheri kwa hatua nzuri aliyoipiga.

WIMBO MPYA | 20% - SUBIRA

Sunday, January 05, 2014

Taarifa kamili kuhusu boti iliyotupa watu 10 baharini ikitokea Pemba.

bahari 
Boti ya Kilimanjaro II ikitokea Pemba kuelekea Unguja imepigwa na dhoruba leo Jan 5 2014 kwenye saa nne asubuhi na kuponea kuzama ilipokua kwenye eneo hatari la Nungwi ambapo ilizama kidogo mbele na kunyanyuka hivyo watu wa mbele wote wakaachwa lakini pamoja na kuwatupa hao watu kwenye maji Nahodha akafanya uamuzi mwingine mgumu.

Aliona akisimama ili kuwaokoa wale watu boti yote ingezama pale hivyo akaamua kuendelea na safari lakini kabla ya kuondoka watu kadhaa ndani ya boti wakajitolea kuwatupia life jacket wale waliotupwa kwenye maji ambapo shuhuda anasema kama mtu hajui kuogelea anaweza kupoteza maisha kwa sababu hawakua wamejiandaa kwenye tukio hili la ghafla na sio wote wamepata vifaa hivyo vya kujiokoa.

Shuhuda mmoja anasema ‘yani boti ilizama ghafla mbele hivyo watu wakatupwa kwenye maji kwenye hii sehemu ambayo kuna mkondo wa maji, upepo ulikua mkali sana yani unaona watu wanajaribu kujiokoa mabegi na vitu vingine vinaonekana juu ya maji’

BREAKING NEWS: BOTI YA MV KILIMANJARO II KUTOKA PEMBA KUELEKEA UNGUJA YANUSURIKA KUZAMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema boti ya Kilimanjaro 2 iliyokuwa ikitoka Pemba kuelekea Ugunja inasemekana imepingwa na dhoruba kali na kunusurika kuzama, inadaiwa kuna vifo vimetokea. 
 
Ukweli ni kwamba wimbi kubwa liliipiga boat na kusababisha hali ya tafrani. Nimetoka kuongea na mamlaka ya bandari sasa hivi na boat iko njiani inakuja unguja iko maeneo ya Beit ras sasa hivi. Haijazama  na iliondoka na abiria watu wazima 269, watoto 60 na mabaharia 8 wote wako salama.

Wimbi kubwa liliipiga likachukua mabegi na baadhi ya life jackets. Injini za boat zilizima, ilibidi watulie kwa muda kuona kama wimbi lilichukua na baadhi ya abiria lakini hakuna hata mtu mmoja aliyeachwa.
 
Nakumbuka mamlaka ya hali ya hewa walitoa tahadhari kuhusu mchafuko wa bahari hizi siku.

CHANZO:-JAMII FORUM NA CLOUDS FM

ORODHA YA NYIMBO 20 ZA REDIO KITULO FM JUMAPILI 05|01|2014



NAFASI
JINA LA WIMBO & MSANII
20:-
Nothin’ to Me – PBling
19:-
Kajiinamia – Abdu kiba F| Alli kiba
18:-
Mapenzi nguvu ya Dunia – Councillor
17:-
Chapa Nyingine – Chegge F| Gift
16:-
Come Over – Vanessa mdee
15:-
Umependeza – Rachel
14:-
Tema Mate Tuwachape – Madee
13:-
Tebiba Bingi – Irene
12:-
Drive Slow – JCB F| Prof Jay
11:-
Sijiwezi – Maua Sama
10:-
Timber – Pitbull F| Ke$ha
09:-
Siri ya Mchezo – Fid Q F| Juma Nature
08:-
Chelewa – Navy kenzo (aika,NahReal & Weestar)
07:-
Usihukumu – Criss wamarya
06:-
The Monster – Eminem F| Rihanna
05:-
Monifere – Gosby F| Jux & Vanessa Mdee
04:-
Roho yangu – Rich Mavoko
03:-
Basi njoo kariakoo – Abby Skillz  F| Alli kiba & Shetta
02:-
Nakula Ujana – Ney wamitego
Bonus Track
Pendo – Y Tony
01:-
Mtemi Pesa – Squizer F| Belle 9


Wednesday, January 01, 2014

(Official Music Video) Nay wa Mitego – Nakula ujana

MSANII M.I.A HAYUPO TENA ROCK NATION RECORD LEBEL YA JAY Z

Unakumbuka Mstari Wa Jay z "I Dont Get Dropt, I Drop The Lebel" Inaonekana M.I.A kautumia hapa. 
Mwaka 2014 ameanza tofauti kwa lebel ya Rapper Jay Z kwa kupoteza mmoja ya wasanii wakali kwenye himaya yake.

Huyu M.I.A ni msanii mwenye kipaji tofauti na wasanii wengine na kama hufuatili vitu adimu kwenye game basi kazi zake zimekupita. 

M.I.A Alikuwa chini ya usimamizi wa Rock Nation na alikuwa akisimamiwa kama msanii na kazi zake. 
Msanii huyu alitangaza kupitia kurasa yake ya Twitter kuwa " Anaondoka Rock Nation na anatoa shukrani zake kwa wote waliompa nguvu kupitia kazi yake ya MATANGI "
M.I.A Mwenye miaka 38 alianza kufanya kazi na Jay-Z mwezi May mwaka 2012 na kujiunga na wasanii kama Rihanna, J. Cole, Meek Mill na Wale.

HII NI TAARIFA YA IKULU KUHUSU KIFO CHA WAZIRI WA FEDHA TANZANIA DK WILLIAM MGIMWA

mgimwa 12Rais Jakaya Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri huyu wa fedha William Mgimwa na kwamba Taifa limempoteza katika kipindi ambacho linamuhitaji zaidi kutokana na mchango wake mkubwa.
 
Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue ambae ndio ametangaza kifo cha Waziri huyu kwa niaba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, amesema Mgimwa amefariki saa tano na dakika 20 asubuhi hospitalini Afrika Kusini.
Maandalizi ya kuurudisha nyumbani mwili wa Marehemu yanafanywa na Serikali kwa kushirikiana na familia na kwamba taarifa zaidi zitazidi kutolewa kadri zitakavyopatikana.

Labels