Pages

Monday, January 27, 2014

Mpiga tumba mahiri katika muziki wa dansi hapa nchini SOUD MOHAMED aka MCD amefariki dunia

Mpiga tumba mahiri katika muziki wa dansi hapa nchini SOUD MOHAMED aka MCD amefariki dunia usiku huu katika hospital iliyopo mjini Moshi inayoitwa KCMC mkoa wa Kilimanjaro. 

CIMG2415

Marehemu MCD alikwenda kutibiwa alikuwa akiumwa kwa siku kadhaa ingawa bado hatujapewa taarifa kamili ni kipi kilichokuwa kikimsumbua hadi mauti kumkuta.


Taarifa hizi za kifo cha MCD zimetolewa na msemaji wa bendi Twanga Pepeta Hassan Rehami.


MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SOUD MOHAMED MAHALI PEMA PEPONI.....Ameen.


0 maoni:

Post a Comment

Labels