Pages

Friday, June 06, 2014

NEW VIDEO | AMMY CHIBA - SUBIRA YA MOYO




Msanii wakike aliyebarikiwa sauti kutoka The G City “Mbeya” aliyewahi kuwa Mshiriki wa Epic Bongo Starsearch 2013 nakuwa Tano Bora Amina Chibaba a.k.a Ammy Chiba yupo Hatua ya Mwisho ya kuachia Wimbo wake wa kwanza tangu kurudi katika Shindano Hilo la EBSS.

Kupitia Account yake ya Facebook @Ammy Chiba amepost Cover ya Ujio wake Mpya Na kuandika hivi.

 ''Mambo vp watu wangu naomba mkae tayari kuipokea vidio yangu ya...SUBIRA YA MOYO..itakujia mda si mrefu naitaji mnisapoti ili niukuze mziki wangu naamini tuko pm1''

SUBIRA YA MOYO Ni Comeback yake na anatarajia kuiachia Rasmi Tarehe 15|06|2014 katika Mfumo wa Video….Kwa Mjibu wa Director wa Video Hiyo Tarehe 08|06|2014 Kionjo cha Video Hiyo kitaachiwa.
 

0 maoni:

Post a Comment

Labels