Pages

Wednesday, June 04, 2014

Lil Wayne, Drake, Trey Songz ,Pharrell Williams na Usher kutumbuiza kwenye Tuzo za BET 2014




BET imetangaza majina ya wasanii nyota wa Marekani watakaotumbuiza katika tuzo za BET ambazo kwa mwaka huu, Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla inawakilishwa na hit maker wa ‘Number One’ Diamond Platnumz anaewania kipengele cha ‘Best International Act’.

http://ionegiantmag.files.wordpress.com/2009/06/cashmoney.jpg
Orodha hiyo inajumuisha wasanii kutoka Young Money ambao ni Lil Wyne na Drake Mastaa wengine watakaoshambulia jukwaa ni Trey Songz, Usher na hit maker wa ‘Happy’ Pharrell Williams,Jennifer Hudson pamoja na Lionel Richie.

Host wa tuzo za BET atakuwa mchekeshaji/muigizaji Chris Rock.
Na Tuzo hizo zitaoneshwa live kutokea ‘Nokia Theatre’ huko Los Angeles, Marekani June 29

0 maoni:

Post a Comment

Labels