Pages

Tuesday, June 10, 2014

LIL KIM AWA MAMA WA MTOTO WAKIKE (ROYAL REIGN)

 Lil Kim Ajifungua Mtoto wa Kike, ampa jina lenye hadhi ya kifalme


Hatimaye Rapper Wakike Lil Kim sasa amekuwa Mama baada ya kujifungua  mtoto wa kike na Mtoto huyo amepewa jina la Royal Reign na Baba wa mtoto huyo wa kwanza kwa Kim ni Rapper Mr. Pappers.

Lil Kim mwenye miaka 39 amejifungua jana Jumatatu (June 9) saa 3 na dakika 58 asubuhi katika hospitali ya Hackensack University Medical Center iliyoko New Jersey, Marekani, kwa mujibu wa Huffingtonpost.

Lil Kim aliwahi kuwa Member wa Junior MAFIA, Kwa mujibu E! Royal Reign ni Malkia mwingine kutoka kwa mwana hip hop anaeungana na dada zake toka kwa wasanii wa kongwe…Blue Ivy (Jay Z) na North West (Kanye West).
 

0 maoni:

Post a Comment

Labels