Pages

Friday, June 06, 2014

PICHA:-DIAMOND AKIENDESHWA NA DEMU WA KIZUNGU WA MTV AFRIKA KUSINI TAYARI KWA TUZO ZA MTV MAMA

Wakati Diamond Platnumz akiwa Afrika Kusini Tayari kabisa  kwa tuzo za MTV MAMA Awards hapo kesho , hii leo wamepewa ka-suprise kidogo baada ya mtasha wa kizungu kukamatia gari na kuwazungusha mitaa ya Afrika Kusini.
Diamond-Platnumz-na-Babutale-vibe-co-tz
Pia babutale amefunguka hivi kuhusiano na dereva huyo kupitia ukurasa wake wa instagram, “Dereva wa leo mh MTV wamenikosha baba T..”Picha hapo chini ni babutale,meneja wa Diamond akiwa na dereva huyo….
Diamond-Platnumz-Babutale-Dereva

0 maoni:

Post a Comment

Labels