Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi
amefariki dunia nchini Afrika Kusini ambako alipelekwa kupatiwa matibabu
katika hospitali ya Milpark.
Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa
na mapanga kichwani siku chache zilizopita, nyumbani kwake Kibamba
Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
0 maoni:
Post a Comment