Pages

Friday, November 08, 2013

ONICAR TANYA MARAJ a.k.a NICK MINAJ AZUNGUMZIA KUHUSU SOUND YA ALBUM MPYA NA COLLABO ZA YOUNG MONEY


Ni miaka karibia miwili sasa toka rapper Nicki Minaj ametoa album yake ya mwisho Pink Friday: Roman Reloaded na sasa yupo tayari kwa cd mpya na ametangaza kuwa kazi imeshaanza.

Kwenye Interview aliyofanyiwa hivi karibuni Minaj amesema sound ya album yake mpya itakuwa tofauti sana na nndio kitu kipya kwenye rap game kwa sasa. 
Kama ni shabiki wa msanii huyu utakuwa unajua kuwa anapenda utofauti sana kwenye kazi zake na kwenye hii cd mpya she has done it again.
Kuhusu wasanii wa Young Money kushirikishwa kwenye cd hio mpya Minaj kafunguka kuwa kuna baadhi yao wameshaomba collabo na anafatilia yupi haswa atapendeza zaidi kwenye hii album ila kuna watakao kuwepo.
Hii itakuwa tofauti na cd mpya ya Drake ambayo kwa sasa ni Platinum album haikuwa na msanii wa Young Money.

0 maoni:

Post a Comment

Labels