Pages

Tuesday, November 12, 2013

USIKU WA MBALAMWEZI UTAKAO WAKUTANISHA WASANII KIBAO KWENYE STAGE MOJA




The Hit Maker wa Joint ya Mapenzi na Shule,Odemba,Si Kosa Lake na Zingine Kibao na anayewakilisha kundi la EMG Classic kutoka Wilayani Makete Mkoani Njombe Si Mwingine ni Y Jay Anatarajia Kufanya Uzinduzi wa Video ya Wimbo wake Mpya "Mbalamwezi" Siku ya Jumamosi ya Tarehe 16|11|2013 Pale Ikonda Mseketwa PUB na Jumapili ya Tarehe 17|11|2013 Uzinduzi Huo Utaendelea Makete Mjini katika Ukumbi wa Francis Kona.

Mbalamwezi Audio Imefanyika katika Studio ya Vision Record's na Producer Aldo Sanga na Video Imefanyika na The Super Director Edwin Moshi.

Y Jay Atazindua Nu Joint Kama Sinyora aliyowashirikisha Kundi la SHABABI International kutoka The Green City (MBEYA) na Sina Mpangonao zote Hizo Zimefanyika Katika Studio ya Vision Record's na Producer Fredy.

Katika Uzinduzi huo Atasindikizwa na Wasanii kama Sianda Mzee wa Tambiko,Mackford,Calvin Paul,The Galax Dancers na Mr Releasin' Every Dreams (Mr R.E.D) ambaye pia ni Mwanakundi la EMG CLASSIC.

Usiku Huo wa Mbalamwezi Umedhaminiwa na Mama Serengeti,Nick Cosmetics,Cathelyne Muuzaji maarufu wa Vyombo vya Nyumbani,Mtandao wa Kijamii wa ELLY BLOG na EDDY BLOG,Vision Record's,Y JAY Fashion wauzaji wa Pamba kali za Mtumba,Kitulo Fm Pamoja na Haroon Hardware & Music System.

3 maoni:

Labels