AKIZUNGUMZA KUTOKEA WASHINGTON DC BAADA YA KUWASILI KUTOKA TANZANIA,MR DMK AMESEMA KAMA KAWAIDA WAKISHIRIKIANA NA "J & P ENT"
WATAWALETEA ZIARA YA MWANAMUZIKI HUYO KIPENZI CHA WENGI ANAYETAMBA NA
VIBAO VYAKE KAMA "NAI NAI",BAADAE NA VINGINE VINGI,TAREHE NA MIJI
KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI PINDI TARATIBU ZOTE ZITAKAPOKAMIRIKA,MENEJA WA "OMMY DIMPLEZ " MR MUBENGA PIA AMETHIBITISHA HABARI HIZI PAMOJA NA PICHA WAKISAINI MKATABA...
MBALI NA DIMPLEZ , DMK PIA AMESEMA ZIARA ZA WANAMUZIKI.."BARNABA,SHETTA NA LINAH ZITAFUATA..USA & CANADA KAENI TAYARI...KWAMAELEZO ZAIDI PIGA SIMU # USA +1 301-661-6207..OR ..TZ +255784715993
0 maoni:
Post a Comment