Pages

Tuesday, August 13, 2013

VUMBE MSANII WA BONGO FLEVA ALOVUNJWA MKONO NA PRODUCER WAKE.


Huyu msanii anaitwa Vumbe na kwao ni Kigoma na ndio maana anajiita Vumbe wa K Town na ndo jina
analotumia hata kwa facebook.

Siku chache zilizopita alikwaruzana na Producer wake STIVE WHITE na kusababisha avunjwe mkono wake wa kushoto.

Yote yalitokea baada ya Vumbe kujiona yeye ndio yeye na kuanza kumtukana Producer Stive White mbaya zaidi mbele ya mke wake na kama haitoshi alimfuata kwake.

Stive kwa hasira ikabidi ampe adabu kijana na mpaka sasa kesi ipo POLISI.

Najaribu kufuatilia mkasa huu kwa ukaribu sana ila bahati mbaya Vumbe na Stive bado hawajaoongea chochote ila bado sijachoka kuwatafuta ili tujue ilikuaje mpaka yote yakatokea.

Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu sana na Vumbe inadai kuwa
chanzo ni wimbo wa Maisha ni Watu Original Version eti kwa 
nini STIVE WHITE Stive Mweupe aurealise huo wimbo.
 
 
Hapo juu ni Vumbe wa K Town akiwa na maumivu yake na hapa Chini ni Producer Stive WHITE 
alomvunja Vumbe mkono.

 

0 maoni:

Post a Comment

Labels