Pages

Sunday, December 29, 2013

MSANII DAYNA NYANGE AKANUSHA KUHUSIANA HABARI ZILIZO KUWA ZIMEENEA KUHUSIANA NA KUFANYA UCHAFU UFUKWENI

Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani    Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha 

zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njemba nusu uchi.  Dayna kupitia page yake ya facebook, ameweka wazi kwamba sivyo kama ilivyoandikwa na baadhi ya mitandao kwamba alfumwa badala yake ilikuwa ni sehemu ya location ya video yake ya wimbo mpya wa mimi na wewe


"Jamani Hizi ni moja ya Picha.... Tulipokuwa location tuna shoot wimbo wangu wa "Mimi Na wewe" Na sivyo kama ilivyo semekana. Na baadhi ya blogs kwamba nimefumwa beach nikijiachia sijui nini Na nani kha!

0 maoni:

Post a Comment

Labels