Pages

Thursday, December 05, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMEWEKA WAZI MSHAHARA WAKE LEO BUNGENI

Waziri mkuu Mizengo Pinda ameweka wazi mshahara wake na kusema kuwa analipwa mshahara wa milioni 6, mshahara ambao ni pamoja na posho ya mke wake.
Pia amesema kuwa mshahara wake hauna tofauti kubwa sana na mshahara wa Rais, kwa kuwa hautofautiani hata milioni 1, na ameongeza kuwa yeye ni mkopaji mzuri sana wa mikopo toka benki

0 maoni:

Post a Comment

Labels