Pages

Wednesday, September 25, 2013

"NATAFUTA MUME WA KUNIOA,NIPO TAYARI KUMPA MOYO WANGU WOTE" ALIYE TAYARI TUWASILIANE

Mimi ni  binti  mjasiliamali  ambaye  nimechoka  kuishi  peke  yangu  na  sasa nahitaji mwanaume  wa  ndoa  anayejiheshimu  na anayejua kupenda.Umri  wangu  ni  miaka 25, elimu  yangu  ni  form six.
 Asilimia kubwa ya wanaume ni wasumbufu  na  wana wanawake  wengi,kitu  ambacho  kwa  upande  wangu sikitaki  maana  najijua  nina  wivu.
Kwa  yeyote mwenye sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema  ambaye  atanipenda  kwa  dhati  na  hatanisaliti  basi anijibu  kupitia  Email  yangu. 
Kwa  upande  wangu  namhakikishia  kuwa  ntampenda  kwa  dhati, Sitamsaliti, ntamheshimu  na  ntawapenda  ndugu  na  jamaa  zake  wote  kwa  moyo  wangu  wote.
Mawasiliano: 
Email yangu  ni nancybast4@yahoo.com

2 maoni:

  1. MM NI KIJANA MIAKA32 NATAFUTA MKE 36-40 AMBAE AMEOLEWA AKAACHIKA AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI SITA MKWAZA AWE MWENYE UPENDO MKARIMU TUWASILANE NAMBA 0716221361 MNYUSSTHABIT@GMAIL .COM

    ReplyDelete
  2. Huu ni ushuhuda wangu juu ya kazi nzuri ya Chief Eli Dodoru ambaye hunisaidia .... mimi ni Ann Earnis kutoka kaskazini mwa Karina USA. kwa msaada wa hii cell ya spell, mume wangu ambaye aliniacha nje kwa miaka 3 iliyopita alirudi, mwishowe nilikutana na mtu huyu kwenye wavuti ya blogi na mtu mmoja ni mteja wa msaada, nikamuelezea kila kitu na akaniambia juu ya spell caster ambayo alijua juu yake na alinipa whatsapp yake ili niandike spell caster kumwambia shida zangu. Katika wiki mbili tu, mume wangu alirudi kwangu. Nataka tu kusema asante kwa hii simulizi ya kweli na ya kweli, bwana wote uli kuniambia wametimia na asante bwana. Tafadhali nataka kumwambia kila mtu anayetafuta suluhisho lolote la shida yao, kushauriana kwa uangalifu na hii caster, yeye ni halisi, ana nguvu na chochote kile spell caster anakiambia ni nini kitatokea, kwa sababu yote yale ambayo spell caster aliniambia yalikuja kupita. Unaweza kuwasiliana naye kwa huruma kwa: whatsapp +2349015088017

    ReplyDelete

Labels