Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, June 20, 2013

NEW AUDIO: STOPA THE RHYMECCA FEATURING JOH MAKINI "NIMEVURUGWA"

TUZO ZA WANASOKA BORA TANZANIA BARA

Kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya Jakaya, CityBly wakishirikiana na Pepsi, Sputanza na TFF. Wanakuletea Tuzo za Wanasoka bora Tanzania Bara. Tuzo hizo zitafanyika Diamond Jubilee tarehe 22nd June 2013 kuanzia saa moja usiku.

Jukwaa la burudani litachakazwa na Sky Light Band, Barnabas Boy, Chin Bees na DJ Mafuvu.

Kiingilio ni 10,000 na 50,000 kwa V.I.P. Imedhaminiwa na Pepsi, Lifan, Kishen, wauzaji wa Pikipiki aina ya Toyo .

Huu ndio wasaa wa Wapenzi na Mashabiki wa Kandanda Tanzania kuonesha mapenzi yao kwa wanasoka wawapendao na wanaofanya vizuri.

Tuesday, June 18, 2013

KAULI YA RAIS KIKWETE KUHUSU SHAMBULIO LA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI NA MAJERUHI KADHAA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mfadhaiko, mshituko na huzuni kubwa taarifa za shambulio la mlipuko lililotokea katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini Arusha jioni ya leo, Jumamosi, Juni 15, 2013, tukio ambalo limesababisha vifo vya watu wawili na majeruhi ya Watanzania kadhaa.

Aidha, Rais Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa jamaa na ndugu wa wafiwa wote na pia ametuma pole nyingi kwa majeruhi ambao wameumizwa na kujeruhiwa katika tukio hilo ovu na katili.


Vile vile, Rais Kikwete amewatumia salamu za pole viongozi wa CHADEMA kufuatia tukio hilo la woga mkubwa na pia kuviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua stahiki za kuchunguza kwa haraka, kubaini, kuwakamata na kuwafikisha mbele ya sheria wote waliohusika na tukio hilo, wawe watu wa ndani ya nchi ama nje ya nchi.

Katika salamu zake za rambirambi na za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Magesa Mulongo, Rais Kikwete amesema: “Nimepokea kwa mfadhaiko, mshituko na huzuni kubwa shambulio la mlipuko lililotokea katika mkutano wa CHADEMA mjini Arusha jioni ya leo, tukio ambalo limesababisha vifo na majeruhi ya Watanzania wenzetu.”

Amesema Rais Kikwete: “Nakutumia wewe Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Magesa Mulongo salamu zangu za rambirambi kufuatia vifo na pole nyingi kutokana na majeruhi katika tukio hilo na naomba kupitia kwako unifikishie salamu zangu za rambirambi kwa jamaa na ndugu wa wafiwa na pole nyingi sana kwa majeruhi.”

“Kadhalika naomba unifikishie salamu zangu za pole kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kutokana na tukio hilo. Naomba uwajulishe kuwa uchungu wao ni uchungu wetu sote na msiba wao ni msiba wetu pia. Nataka wajue kuwa tupo pamoja nao katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi na huzuni mkubwa,” amesema Mheshimiwa Rais Kikwete.

Rais Kikwete amemwambia Mkuu wa Mkoa wa Arusha: “Kadhalika, nimeviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka kuwasaka wahusika, kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Aidha, nawataka viongozi wa Serikali ngazi ya kitaifa, Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Arusha mjini kuhakikisha kuwa majeruhi wote wanapata matibabu ya haraka na huduma za tibabu stahiki.”

Aidha, Rais Kikwete ametoa wito maalum kwa wananchi akisema: “Kwa wananchi wenzangu, Watanzania wenzangu, napenda kutoa wito wa kuviachia vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi yao vizuri ili tuweze kuwabaini waovu waliofanya kitendo hiki.”

“ Natambua kuwa yatakuwepo maneno mengi na hisia mbali mbali zitakazojaribu kulielezea tukio hilio ovu na katili kwa njia mbali mbali. Nawasihi tujiepushe na kuchukua dhana na hisia zetu au maneno ya watu wengine kuwa ni ukweli wa tukio hili. Tujipe nafasi ya kutafakari vizuri na kufanya uamuzi ulio bora.”

Ameongeza Rais Kikwete: “Mimi siamini kuwa Watanzania au wafuasi wa vyama vya siasa wanachukiana kiasi cha kufanyiana matendo ya unyama wa aina hii. Naamini kuwa hiki ni kitendo cha mtu ama watu wasioitakia mema nchi yetu, watu ambao wanatafuta kila sababu ya kupandikiza chuki miongoni mwa raia ama makundi ya raia, ili nchi yetu iingie kwenye machafuko makubwa.”

“Ndugu zangu, Watanzania wenzangu, naomba tuzinduke, ili tusiwape nafasi watu hawa waovu ya kuweza kutimiza malengo yao ya kuvuruga amani na utulivu wa nchi yetu kwa kuleta mifarakano baina yetu. Mungu Ibariki Tanzania, Munfu Ibariki Afrika.”

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU,
DAR ES SALAAM

Monday, June 17, 2013

Rapper Jay Z Ametangaza Ujio Wa Album Yake Mpya Na Jinsi Ya Kuipata Kirahisi

Rapper anaye set standard za Hiphop duniani Jay Z ametangaza ujio wa cd yake mpya Itakayoitwa Magna Carta Holy Grail, Itakuwa mtaani July 4 na kupitia Simu za Sumsung utaipata kirahisi zaidi.
 
 Watumiaji Milioni moja wa kwanza wa Samsung Galaxy III, Galaxy S 4, na Galaxy Note II watapata nafasi ya kuwa na application itakayo ruhusu kudownload cd hio.
 
Application hii itakuwa tayari June 24 kupitia magnacartaholygrail.com .

Wakati wa game 5 ya NBA Finals walirusha clip inayo muonyesha Jay z akiwa na Rick Rubin, Pharrel Williams,Swizz Beats Na Timbaland wakitengeneza mzigo mwingine.
 
 Album ya Mwisho wa Jigga Ilikuwa The BluePrint 3 ya 2009

BAADA YA KUDAI SHOW YA MWANA FA IMEBUMA WADAI ILIKUWA INAHITAJI WATU 400 TU:HIZI HAPA PICHA 40 ZA SHOW YA MWANA FA

 

.

.
King Zilla kutoka Salasala alikuepo.

.
Watu wakipata chakula na vinywaji kabla ya kuingia kwenye show
.
.
Meneja wa Ommy Dimpoz, Muba, Salama na Ommy Dimpoz.

.
.

.


.

.


.

.

.
.

.
.

.
.

.
.


.
.

.
.
.
.

.
.

.
.

.
.

.
.


.


.

.
.

.
.
.
.


.

.
.
.
.
.
.

.
.
Ilikua ni show inayohitaji watu 400 tu.

.
Ben Pol kwenye stage.

.
FA mwenyewe.

.

.
.
Mandojo na Domokaya, Kilimanjaro Band, Fa na Linah pamoja na Maua.

.
.
.
.
.
Mwigizaji Wema Sepetu akiingia

Friday, June 14, 2013

VIDEO | VANESSA MDEE - "CLOSER" HD (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

TAARIFA ILIYOLEWA NA BABA MDOGO WA MAREHEMU LANGA KUHUSU SABABU YA KIFO CHA LANGA NA TARATIBU ZA MAZISHI

Baba Mdogo wa marehemu Godwin Kileo ametoa taarifa ya kitu kilichosababisha kifo cha Langa ambaye alilazwa hospitali ya Kinondoni na baadae kupelekwa hospitali ya Muhimbili ambako alifikwa na umauti jana jioni saa 10 tarehe 13 June.Pia ameelezea taratibu za mazishi ya Langa.

Langa Kileo alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12 Dec mwaka 1985 nakusoma shule ya msingi Olimpio,baadae akaenda Uganda kwa masomo ya Sekondari kisha elimu ya chuo CBE Dodoma.Ngoma ya mwisho ambayo marehemu alikuja kuitambulisha kwenye shoo ni 'Am Supplying'.#RIP Langa

DOGO JANJA AKAMATWA NA BANGI NA KUPELEKWA CENTRAL JIJINI ARUSHA

MSANII ANAETAMBA KWA SASA NCHINI ABDULAZIYI CHENDE JANA AMEKAMATWA  JIJINI ARUSHA AKIWA NA WENZAKE WAWILI AMBAO NI DJ MAARUFU HAPO TOWN DJ BWAXX NA MSANII NIGA C WAKIWA NA MISOKOTO KADHAA YA BANGI MAENEO YA NGARENARO NA KUPELEKWA KITUO KIDOGO CHA POLISI NGARENARO KABLA YA KUFIKISHWA CENTRAL.

CHANZO CHA TAARIFA HIZI KIMEITONYA KALIUA BLOG KUWA WASANII HAO WALIKUWA WAKIUNGUA MAENEO YA NGARENARO NA BILA KUSHTUKIA KUWA TAYARI VIJANA WA MWEMA WALIKUWA MAENEO HAYO WAKIWA DORIA NA KUSIKIA HARUFU YA CHA ARUSHA NDIPO WALIPOWAIBUKIA NA KUWATIA NGUVUNI.

KWA HABARI TULIZOZIPATA NI KUA WOTE WALIACHIWA NA SASA WAPO URAIANI.

Chanzo:-chuma blog

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA ATOA SABABU YA GLOBAL PUBLISHERS KUMCHAFUA,ZISOME SABABU HIZO HAPA


ANASEMA KUWA ALIPIGIWA SIMU YA KIBIASHARA KWA AJILI YA KUFANYA SHOW NA GLOBAL PUBLISHERS KWA SABABU HAWAKUAFIKIANA KWENYE MALIPO NDO WAMEAMUA KUMCHAFUA. TAZAMA PICHA YA KILICHOANDIKWA NA GLOBAL PBLISHERS HAPA

TOP 10 | LIST YA NYIMBO KUMI BORA ZA WIKI KATIKA FRIDAY BANG YA KITULO FM

10:- Lets Dance - Naj F| Ay
09:-Jipe Shavu - Ay F| Fid Q
08:-Attention - M Rap F| Deddy
07:-Usiku wa Leo - Becka Title F| Mirror & Blue
06:-Dini Tumeletewa - Afande Sele F| Belle 9
05:-Love me - Izzo B F| barnaba & Shaa
04:-Jitunze - Mr R.E.D
03:-Furaha ya Leo - Dream
02:-Wanipa wazimu - Lawize Entertainer F| Ney Lee
01:-Masebene - Y - Tony

Thursday, June 13, 2013

MUHIMBILI YAZUNGUMZIA KIFO CHA LANGA


Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano wa hospitali ya Taifa Muhimbili amethibitisha kwamba msanii Langa amefariki dunia June 13 2013 saa kumi na moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini hapo toka juzi jioni ambapo kutokana na sababu za kimaadili kwenye tiba, Muhimbili hospitali hawawezi kusema rapper huyu alikua anaumwa nini bali ndugu ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo.

Kwenye maelezo aliyoyatoa Aminiel amesema Marehemu Langa alipokelewa kwenye idara ya wagonjwa wa magonjwa ya dharura usiku wa kuamkia jana na kupatiwa huduma ambapo leo June 13 2013 ndio alihamishiwa kwenye chumba cha wagonjwa Mahututi na baadae kufariki dunia.

MAJONZI TENA, MSANII LANGA AAGA DUNIA LEO HII

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa msanii Langa amefariki dunia wakati akitibiwa hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam

taarifa zaidi endelea kutufuatilia

Labels