Pages

Thursday, June 20, 2013

TUZO ZA WANASOKA BORA TANZANIA BARA

Kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya Jakaya, CityBly wakishirikiana na Pepsi, Sputanza na TFF. Wanakuletea Tuzo za Wanasoka bora Tanzania Bara. Tuzo hizo zitafanyika Diamond Jubilee tarehe 22nd June 2013 kuanzia saa moja usiku.

Jukwaa la burudani litachakazwa na Sky Light Band, Barnabas Boy, Chin Bees na DJ Mafuvu.

Kiingilio ni 10,000 na 50,000 kwa V.I.P. Imedhaminiwa na Pepsi, Lifan, Kishen, wauzaji wa Pikipiki aina ya Toyo .

Huu ndio wasaa wa Wapenzi na Mashabiki wa Kandanda Tanzania kuonesha mapenzi yao kwa wanasoka wawapendao na wanaofanya vizuri.

0 maoni:

Post a Comment

Labels