Pages

Friday, June 14, 2013

TAARIFA ILIYOLEWA NA BABA MDOGO WA MAREHEMU LANGA KUHUSU SABABU YA KIFO CHA LANGA NA TARATIBU ZA MAZISHI

Baba Mdogo wa marehemu Godwin Kileo ametoa taarifa ya kitu kilichosababisha kifo cha Langa ambaye alilazwa hospitali ya Kinondoni na baadae kupelekwa hospitali ya Muhimbili ambako alifikwa na umauti jana jioni saa 10 tarehe 13 June.Pia ameelezea taratibu za mazishi ya Langa.

Langa Kileo alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12 Dec mwaka 1985 nakusoma shule ya msingi Olimpio,baadae akaenda Uganda kwa masomo ya Sekondari kisha elimu ya chuo CBE Dodoma.Ngoma ya mwisho ambayo marehemu alikuja kuitambulisha kwenye shoo ni 'Am Supplying'.#RIP Langa

0 maoni:

Post a Comment

Labels