Pages

Monday, June 17, 2013

Rapper Jay Z Ametangaza Ujio Wa Album Yake Mpya Na Jinsi Ya Kuipata Kirahisi

Rapper anaye set standard za Hiphop duniani Jay Z ametangaza ujio wa cd yake mpya Itakayoitwa Magna Carta Holy Grail, Itakuwa mtaani July 4 na kupitia Simu za Sumsung utaipata kirahisi zaidi.
 
 Watumiaji Milioni moja wa kwanza wa Samsung Galaxy III, Galaxy S 4, na Galaxy Note II watapata nafasi ya kuwa na application itakayo ruhusu kudownload cd hio.
 
Application hii itakuwa tayari June 24 kupitia magnacartaholygrail.com .

Wakati wa game 5 ya NBA Finals walirusha clip inayo muonyesha Jay z akiwa na Rick Rubin, Pharrel Williams,Swizz Beats Na Timbaland wakitengeneza mzigo mwingine.
 
 Album ya Mwisho wa Jigga Ilikuwa The BluePrint 3 ya 2009

0 maoni:

Post a Comment

Labels