Pages

Saturday, April 21, 2012

KURASA ZA MTANDAO WAKIJAMII FB J'MOSI

 
  • Wapendwa....Je ni halali kwa huyu mbunge wetu Halima Mdee kuchangisha pesa kwaajili ya kumsaidia 'LULU na familia yake?Je ni watu wangapi wapo gerezani kwa kuonewa na wengine wana hali duni katika jamii zetu lakini hawana misaada?LULU ni kama nan?kwanini asiiache Sheria ikachukua mkondo wake?
    · · · 17 minutes ago via mobile ·
    • 4 people like this.
      • Rogers Lugalambi uko sawa kabisa
        15 minutes ago · · 1
      • Linus Francis ajui analo fanya kwanini asiwasaidie watoto yatima
        14 minutes ago · · 1
      • James Mortic Hawa wana lao jambo 2,hamna lolote uckute ni ndugu yake.
        13 minutes ago · · 1
      • Neuro Magret Nimeshangazwa sana na hii hali kwa kweli.nimeona angalau niandike,nanyi mchangie mawazo yenu
        13 minutes ago ·
      • Fredy Mhayaya C oni kama kuna kibaya anachotaka kufanya coz inaonekana kama Jamii imemsusa huyu kwann? Yeye asimsadie acha atoe msaada hata wa kisheria coz still now huyu hakuna ushahid wa kwamba alìhusika na kifo cha Kanumba!
        13 minutes ago ·
      • Deogratius George Chambo Atakuwa anamtongozea kaka yake huyo! Babu seya amekaa miaka mingapi jela kwa kuonewa? Kwann wacmchangie kama wana huruma? Nasema ni ushenzi mtupuuuu!
        12 minutes ago · · 1
      • Man Ochu Master It means kuwa haki ya m2 haipatikani bila ya pesa? Au ndo 2amin kuwa pexa ipo juu ya sheria? Vilevile anamaanisha kuwa waliojela wote ni maskini? In general mdee kachemkaa'
        11 minutes ago ·
      • Neuro Magret ¡fredy swali ni kwamba,mbona wengne wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa lakn hakuwasaidia?Lulu ni mtuhumiwa km wengne tu
        11 minutes ago ·
      • Sitty Magomba ANAZINGUA HUYU MDEE
         

0 maoni:

Post a Comment

Labels