Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, February 08, 2013

Rapper kutoka Compton, Marekani maarufu kama The Game ambae anafanya vizuri kwenye game ya muziki wa Hip Hop na kutamba na baadhi ya ngoma zake kadhaa ameongeza Tattoo kwenye mwili wake.

Rapper kutoka Compton, Marekani maarufu kama The Game ambae anafanya vizuri kwenye game ya muziki wa Hip Hop na kutamba na baadhi ya ngoma zake kadhaa ameongeza Tattoo kwenye mwili wake.

The Game amechora tattoo hizo kwenye tumbo lake ikiwa ameongeza baada ya zile alizokuwa nazo, upande mmoja ikiwa ni Album ya Dr. Dre "THE CHRONIC" ikiwa na sura ya Dr.
Upande wa pili, Game amechora picha ya Album yake ya kwanza, THE DOCUMENTARY iliyotoka mwaka 2005.



During that time, Game ali-tweet kwenye mtandao wa twitter na kusema anapata maumivu kwa kuchora tattoo hizo ila akikumbuka jinsi Album hiyo ya Dr. Dre ilivyofanya kwenye jiji lao, anaendelea kuvumilia maumivu hayo.

TOP TEN ZA REDIO KITULO FM IJUMAA HII [08 FEBRUARI 2013]

10;-Listen - Belle 9
09;-Nyumbani - Kigoma All Stars
08;-Press Play - Dj Choka ftn M-Rap,Deddy,Vanessa Mdee,Mabeste
07;-Closer - Vanessa Mdee
06;-Me & U - Ommy Dimpoz ftn Vanessa Mdee
05;-Money - A.Y ftn Vanessa Mdee
04;-Wazo la Leo - Stamina ftn Fid Q
03;-Sina noma nae - Mc Koba
02;-Kesho - Diamond Platnumz
01;-Jambo jambo - Steve RnB

FEZA KESSY KUTOKA UNITY ENTERTAINMENT KUTOA TRACK YAKE YA AMANI YA MOYO TAREHE 11.02.2013 SIKU YA JUMATATU

Feza Kessy Baada ya kutambulishwa rasmi Katika Label ya Unity Entertainment ambayo inasimamiwa na msanii Mkubwa Bongo na anayefanya poa na kazi zake ikiwepo Money aliyomshirikisha Vanessa Mdee si mwingine ni AY sasa Track ambayo ilikuwa inasubiriwa kutoka kwa msanii Feza Kessy sasa itatoka siku ya Jumatatu ya Tar 11.02.2013.

Track hiyo imepewa jina la Amani Ya Moyo ambayo imefanywa chini ya studio za Mpo Africa chini ya Producer Ben Mwamba na kufanyiwa mixing na producer Marco Chali wa MJ Record

Thursday, February 07, 2013

PICHA DIAMOND AKIPIGA SHOW YA UFUNGUZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA...!!


Hii ndio ilikua dresscode ya siku hiyo
Moja ya Silaha zangu kwenye stage kushoto Emma & Mpauka



Wananchi wa Kigoma Tupo Pamoja........???
Makamuzi Yakiendelea stejini.......!!










TID "Mnyama" amekuwa ni miongoni mwa ma-star wa Bongo aliyejichukulia form za kujiunga na shindano kubwa kabisa Africa, Big Brother Africa.

TID "Mnyama" amekuwa ni miongoni mwa ma-star wa Bongo aliyejichukulia form za kujiunga na shindano kubwa kabisa Africa, Big Brother Africa.

TID anaetamba sana kwa sasa na ngoma yake ya KIUNO akiwa na Cowwizzy a.k.a Ngwair amechukua form hizo tayari kuchukua nafasi ya kujichukulia kitita cha dola za kimarekani 300,000 endapo atashinda.

Earlier this week, star kutoka Bongo, Julio aliyewahi kushiriki shindano hilo pia, aliongea kwenye interview na redio moja hapa Dar, na ku-suggest TID angefaa sana kushiriki shindano hilo maana ni mcheshi na ana vigezo vingi vitavyomuwezesha kushinda.

Ukiacha TID, mastar wengine waliochukua form za BBA ni Wema Sepetu na Q-Chief.

Wednesday, February 06, 2013

Rapper kutoka Amerika maarufu kama Gucci Mane sasa yuko mbioni kuachia mixtape

 
Rapper kutoka Amerika maarufu kama Gucci Mane sasa yuko mbioni kuachia mixtape yake inayokwenda kwa jina la ''Trap God II''.
 
 Gucci ameachia Mixtape Cover Art yake ambapo ameongeza kuwa mixtape hiyo itatoka Tarehe 20 mwezi huu.

Arobaini ya marehemu Sajuki itafanyika siku ya Jumamosi ya Tarehe 9/2/2013

 
Familia ya aliyekuwa mcheza filamu za hapa nchini [Bongo Movies] marehemu Juma Kilowoko maarufu Sajuki,inakukukaribisha katika siku ya kumaliza msiba wa ndugu yao.
 
Arobaini ya marehemu Sajuki itafanyika siku ya Jumamosi ya Tarehe 9/2/2013 nyumbani kwake Tabata Bima ambapo dua takatifu itasomwa na pia kutakwa na chakula cha mchana. 
Wote mnakaribishwa kushiriki...

SKILIZA ALICHOSEMA WAZIRI WA ULINZI KUHUSU WASANII WANAO VAA SARE ZA JESHI KWENYE KAZI ZAO.

Mara Nyingi tunaona wasanii wakiwa na Sare za jeshi kwenye kazi zao tofauti hapa Tanzania.
 
Mfano Kwenye nmajukwa ya matamasha tofauti na kwenye Video zao hayo yamesemwa mapema   Leo Bungeni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh.Shamsi Vuai Nahodha Alisema Ni Marufuku Kwa Wasanii Tanzania Kuvaa Sare zinazo fanana na sare za Jeshi Kwenye Kazi Zao Na kwa sasa serikali inawasaka watu wanaofanya vitendo hivyo, Wakikamatwa watachukuliwa hatua za Kisheria .
Mskilize Hapa

JINSI YA KUNUNUA WIMBO

Ni rahisi sana, ili kuweza kulipia wimbo na kuweza kutumia unatakiwa kufata hatua hizi:
1. Tuma kiasi cha fedha ambacho kimependekezwa kama bei ya wimbo huo kwa njia ya M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money
2. Jaza Fomu hapo chini, sehemu ya Message kwenye code andika code ambazo ukishatuma pesa kuna sms ambayo itarudi  inayothibitisha kwamba fedha imefika.
3. Submit fomu hiyo
4. Subiri kwa dakika chache kisha utapokea nyimbo kupitia email yako ambayo umeijaza hapo, hapo utakuwa tayari umefanikisha, download na furahia kusikiliza Muziki.
Mfano jinsi ya kujaza fomu

Baada ya kutuma utapokea ujumbe huu

Support wasanii wa Tanzania kwa kununua kazi zao kihalali 

NEW TRACK: LINAH TOP 10 (WANAMWITA)


Ili kuipata Wimbo mpya ya Msanii Linah BONYEZA HAPA.
Bei ya Wimbo huu ni Tshs. 1,500
Malipo ni kwa njia ya M-Pesa na Vocha tu.
Namba ya malipo - 0765 073 073

JAMBO JAMBO YA STEVERNB SASA INAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA ITUNES.

KAMA ULIMIS KUZIONA NYIMBO KUMI KALI ZA WIKI ZA REDIO KITULO FM 01 FEBRUARI 2013

10;-Listen - Belle 9
09;-Diamonds - Rihanna
08;-Closer - Vanessa Mdee
07;-2030 - Roma ftn Story
06;-Me & U - Ommy Dimpoz ftn Vanessa Mdee
05;-Money - A.Y ftn Vanessa Mdee
04;-Wazo la Leo - Stamina ftn Fid Q
03;-Bonge la Bwana - Shetta ftn Linnah
02;-Kesho - Diamond Platnumz
01;-Jambo jambo - Steve RnB

Tuesday, February 05, 2013

[AUDIO] Brand New: Kigoma All Star - Nyumbani


Baada ya LEKA DUTIGITE, ngoma iliyofanya vizuri sana redioni na kwenye masikio ya wengi, kundi hilo limerudi tena, likifahamika kama Kigoma All Stars wakiwa wamekuja na ujio mwingine mpya na track inaitwa ''Nyumbani''.

[EXCLUSIVE AUDIO] Chege ft. Malaika - Uswazi Take Away


Ni track mpya kabisa kutoka kwa "Mtoto wa Mama Saidi" Chege Chigunda, ikifahamika kama Uswazi Take Away. Humu ndani Chege akiwa ameshirikiana na Malaika.
 
Ngoma ikiwa imesimamiwa kwa karibu na Tudi Thomas pamoja na Dunga katika studio za producer Tudi Thomas.

Rapper kutoka New Orleans, Lil Wayne a.k.a ''Tunechi'' weekend hii alionekana kuwa na hasira baada ya kuguswa na mara kadhaa kuvutwa na mpiga picha wa mwandishi wa habari kitendo kilichoomuudhi sana rapper huyo.


Rapper kutoka New Orleans, Lil Wayne a.k.a ''Tunechi'' weekend hii alionekana kuwa na hasira baada ya kuguswa na mara kadhaa kuvutwa na mpiga picha wa mwandishi wa habari kitendo kilichoomuudhi sana rapper huyo.

Tukio hilo lilitokea wakati wa maandalizi ya Super Bowl Beach weekend, lilimuonesha mshika camera huyo akimuita Lil Wayne bila kupata majibu, ndipo alipoamua kumshika na kuwa kama anamlazimisha ili kufanya nae mahojiano.

Kitendo hicho, hakikumpendeza rapper huyo na papo hapo kuanza kumtukana matusi mpiga picha huyo.

COVER LA ALBUM MPYA YA LIL WAYNE`I AM NOT A HUMAN BEING II' NDIO HILI .

Rapper kutoka YMCMB Lil Wayne ameshirikiana na kampuni ya ubunifu ya  Rapper kutoka G.O.O.D  Music Kanye West itwayo DONDA katika kutengeneza cover la album yake mpya ya I Am Not A Human Being II Inayotoka March 26th..
 
 
Hii Ndio kampuni iliyosimamia Cover la 2 Chainz  Based On A TRU Story .

 

Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa Nikki Mbishi "Play Boy" na Godzilla "SalaSala" ikimshirikisha Cliff Mitindo.

 
Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa Nikki Mbishi "Play Boy" na Godzilla "SalaSala" ikimshirikisha Cliff Mitindo. 
 Ni ngoma mpya inayofahamika kama Kill Yo'self ikiwa ndani ya mixtape ya "KKK"s Nikki Mbishi na Godzilla.

inayofanywa kwa pamoja na rapper
Kill Yo'self ni ngoma iliyofanywa katika studio za Mpo Afrika producers akiwa Ben huku beat ikisukwa na Nikki Mbishi himself.

KKK ni mixtape mpya inayofanywa na Nikki Mbishi na Godzilla ikiwa ni sehemu ya project inayofuata wakiwa pamoja.
Track Name: Kill Yo'self

PREZZO CMB KUFUNGA NDOA NA GOLDIE FEBRUARY 9

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya nchini Nigeria,rapper Jackson Makini maarufu kama Prezzo anatarajia rasmi kufunga ndoa na mwanamuziki wa Nigeria Goldie February 9.

Baada ya taarifa hiyo kuendelea kuenea katika mitandao pia inasemakana kwamba harusi hiyo itanyika jijini Lagos nchini Nigeria.

Monday, February 04, 2013

[PICHA]:-KITALE TEJAH AKIWA NA JIKO LAKE Bi Fatma Salum.

PICHA:KITALE AVUTA JIKO RASMI UKAPERA BASI

 Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale siku za hivi karibuni baada ya kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuoa.
 
Basi jana ndiyo ilikuwa ni siku yake maalumu ya kufunga ndoa na Bi Fatma Salum.

Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.








MGANGA WA DIAMOND AJITOKEZA



Ustadhi Yahya Michael, mkazi wa Dar, hivi karibuni amejitokeza na kudai kuwa yeye ndiye mganga aliyempaisha mwanamuziki Nasibu Abdu ‘Diamond Platnumz’ ambaye kwa sasa ni kinara wa Bongo Fleva, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.



MH! SIKU HIZI ANAJIFANYA SUPASTAA
Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum maeneo ya Magomeni, Dar, mganga huyo alidai kuwa pamoja na jitihada kubwa alizofanya kumpaisha Diamond lakini anamshangaa kwa kuwa amesahau alikotoka na anajifanya supastaa.
Alidai kuwa siku hizi akimpigia simu, Diamond huwa hapokei, tofauti na zamani alipokuwa akihangaika kuchomoka kisanii.
Mganga huyo alifunguka kuwa sababu ya kufanya hivyo ni baada ya kuchukuliwa na watu waliompeleka kwa waganga wa Kigoma ambako anajidanganya kuwa ndiyo wanampaisha kumbe walimchukua akiwa ameshampandisha kwa kumpa dawa kali za mvuto.

ALIMPA DAWA GANI?
Alizitaja dawa alizompatia Diamond kuwa ni mitishamba aina ya Dubi, Ntajamasala (hii humfanya watu wamuogope na kumheshimu), Italigula, Nkangacharo na Kalila Lila (ambayo huichoma na kuoga kwa ajili ya kuwavutia watu).

ANGUKO LA DIAMOND
Alidai kuwa Diamond amejisahau na hajui kama anguko lake linakuja kufuatia ahadi aliyoiweka wakati anaanza kuimba baada ya kumpatia dawa hivyo atapotea kwenye muziki.
Akielezea historia ya kukutana kwao, Ustadhi Yahya alisema yeye na staa huyo walikutana miaka ya 2000 nyumbani kwa Papaa Misifa ambaye alikuwa meneja wa Diamond.
Alidai kuwa kubadilika kwa Diamond kulikuja baada ya kutwaa tuzo tatu za Kili mwaka 2010 ndipo akawa anahusudu wanawake tofauti na masharti ya dawa japokuwa alimkanya lakini hakumsikia.

DIAMOND ANASEMAJE?
Kama ilivyo desturi ya gazeti hili, lilimgeukia Diamond ili kupata mzani wa habari hiyo ambapo alipopatikana kwa njia ya simu alisomewa maelezo yake yote.

AMKANA
Katika maelezo yake, Diamond alikataa kata kata kuwa hamfahamu mtu huyo kisha akakata simu.
“Sina msikiti nitakuwaje na Ustadhi? Huyo mganga nasema simfahamu,” alisema kisha akakata simu.

Stori:  Hamida Hassan na Gladness Mallya Wa GPL

Labels