Pages

Wednesday, February 06, 2013

JINSI YA KUNUNUA WIMBO

Ni rahisi sana, ili kuweza kulipia wimbo na kuweza kutumia unatakiwa kufata hatua hizi:
1. Tuma kiasi cha fedha ambacho kimependekezwa kama bei ya wimbo huo kwa njia ya M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money
2. Jaza Fomu hapo chini, sehemu ya Message kwenye code andika code ambazo ukishatuma pesa kuna sms ambayo itarudi  inayothibitisha kwamba fedha imefika.
3. Submit fomu hiyo
4. Subiri kwa dakika chache kisha utapokea nyimbo kupitia email yako ambayo umeijaza hapo, hapo utakuwa tayari umefanikisha, download na furahia kusikiliza Muziki.
Mfano jinsi ya kujaza fomu

Baada ya kutuma utapokea ujumbe huu

Support wasanii wa Tanzania kwa kununua kazi zao kihalali 

0 maoni:

Post a Comment

Labels