Pages

Tuesday, February 05, 2013

Rapper kutoka New Orleans, Lil Wayne a.k.a ''Tunechi'' weekend hii alionekana kuwa na hasira baada ya kuguswa na mara kadhaa kuvutwa na mpiga picha wa mwandishi wa habari kitendo kilichoomuudhi sana rapper huyo.

Tukio hilo lilitokea wakati wa maandalizi ya Super Bowl Beach weekend, lilimuonesha mshika camera huyo akimuita Lil Wayne bila kupata majibu, ndipo alipoamua kumshika na kuwa kama anamlazimisha ili kufanya nae mahojiano.

Kitendo hicho, hakikumpendeza rapper huyo na papo hapo kuanza kumtukana matusi mpiga picha huyo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels