Pages

Wednesday, February 06, 2013

Arobaini ya marehemu Sajuki itafanyika siku ya Jumamosi ya Tarehe 9/2/2013

 
Familia ya aliyekuwa mcheza filamu za hapa nchini [Bongo Movies] marehemu Juma Kilowoko maarufu Sajuki,inakukukaribisha katika siku ya kumaliza msiba wa ndugu yao.
 
Arobaini ya marehemu Sajuki itafanyika siku ya Jumamosi ya Tarehe 9/2/2013 nyumbani kwake Tabata Bima ambapo dua takatifu itasomwa na pia kutakwa na chakula cha mchana. 
Wote mnakaribishwa kushiriki...

0 maoni:

Post a Comment

Labels