Dj D-Ommy aka The Number One Freestyle Dj in Tanzania, ataachia mixtape yake siku ya wapendao (February 14), mixtape aliyoipa jina la ‘The Valentine’s Heart Felt Mixtape’, maalum kwa ajili ya wapendao.
‘The Valentine’s Heart Felt’ itakuwa mixtape ya tatu kutoka kwenye mikono ya Dj D-Ommy ikizifuatia mixtape zilizopita ambazo ni The Return of the Transform Master na Afro Pop Cutz.
0 maoni:
Post a Comment