Pages

Saturday, February 01, 2014

MSANII KATY PERRY AANDIKA REKODI KUWA MTU WA KWANZA KUFIKISHA FOLLOWERS MILIONI 50 KATIKA MTANDAO WA KIJAMII WA TWITTER

Katy-Perry-katy-perry-16324222-1920-1080
Katy Perry awa mtu wa kwanza duniani kufikisha followers milioni 50 kwenye Twitter Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa mtandao wa Twitter, Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza duniani kufikisha followers milioni 50. 

Katika nafasi ya pili yupo Justin Bieber akiwa na zaidi ya followers milioni 49. 

Nafasi ya tatu imekamatwa na Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na zaidi ya followers milioni 41.

Hata hivyo Katy Perry hatweets sana kama Justin na Obama kwakuwa hadi sasa ameshatweet mara 5370, Bieber mara 25,000 na Obama tweets 11,000.

Katy ametweet: Oh yeah AND we grew to 50 million Katycats! Eh, regular
day at the office.

0 maoni:

Post a Comment

Labels