Pages

Tuesday, February 04, 2014

WAKAZI - CONTROLVERSE (NEW VIDEO & AUDIO)

Huu ni ujio mpya wa Wakazi kabla ya kuachia rasmi albamu yake ya Abacus EP.

Katika ngoma hii amewagusia watu kadhaa hasa wana hiphop lakini ndani ya mashahiri yake anazuia ngoma hiiisichezwe redioni.

“This is just another freestyle song by Wakazi released as a teaser before the release of his abacus EP and his brand new singles also slated for end of the month release. 

In here Wakazi is trading bars & punchlines which seem to be warning shots to fellow emcees who thought he was done and had sold out.” – Wakazi.

0 maoni:

Post a Comment

Labels