Pages

Saturday, February 01, 2014

NEW AUDIO:- D KNOB F| MWASITI - NISHIKE MKONO

D knob

Ni muda mrefu umepita bila kusikia kazi mpya kutoka kwa D-Knob, wala habari zake kutokana na ukimya wake wa muda mrefu, lakini sasa hatimaye rapper huyo wa ‘Elimu ya Mitaani’ anatarajia kuvunja ukimya huo kwa kutoa single mpya aliyomshirikisha Mwasiti.

Single hiyo inayoitwa ‘Nishike Mkono’imefanywa na Producer Villy na inatarajiwa kutoka Jumanne ijayo February 4.

0 maoni:

Post a Comment

Labels