Pages

Monday, August 18, 2014

CHIBWA WA TANCHY KUFANYA COLABO NA JOSE KAMILIONI



The Hit Maker wa Track NISHAI na KWANZA Chibwa wa Tanchy yupo kwenye Hatua za Mwisho za kukamilisha Mipango yakufanya Track ya Pamoja na Msanii Jose Kamilioni wa Nchini Uganda.

Chibwa amesema ilikuwa ni kiu ya muda Mrefu lakini Hatua aliyofikia nikubwa na kitu kilichobaki ni kusubiri Muda ukifika watu watasikia Radha mpya kabisa kwenye Colabo hiyo 

Chibwa amesema hayo wakati wa Mahojiano na Mtangazaji wa Kituo cha Redio Jijini Mbeya "Mbeya Highlands Fm" Ergon Elly wakati wa Tuor ya Muziki inayoandaliwa na Bia ya Kilimanjaro

0 maoni:

Post a Comment

Labels