Pages

Friday, August 15, 2014

CHIBWA WA TANCHY AUTABILIA MAKUBWA MUZIKI WA RAGA NA DANCEHALL

 Chibwa wa Tanchy amesema Muziki wa Raga na Dancehall Unawatu wengi lakini wamekuwa hawaonekani wala kufahamika kutokana na kukosa Support kwa Media kama Muziki Mwingine
 Mshindi wa Tuzo ya Raga na Dancehall kupitia Tuzo za KTMA 2014 Chibwa ameutabilia Makubwa Muziki huu kwa Miaka Michache ijayo....Amesema hayo wakati wa Mahojiano na Mtangazaji wa Kituo cha Redio "Mbeya Highlands Fm" wakati wa Tour yao Mbeya Inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro


 Sikiliza na Download Mahojiano ya Chibwa wa Tanchy hapa

0 maoni:

Post a Comment

Labels