Pages

Monday, August 18, 2014

Professor Jay:-Hammer, Cigar, Bakora, Casino: Professor J ni mdosi kwenye video ya Tatu Chafu (Picha)

Safari hii Joseph Haule aka Professor Jay ni kama ameamuakulipa deni alilonalo kwa mashabiki wake, sababu amesema hataki kuweka gap la ukimya tena, itakuwa ni mwendo wa bandika bandua.
Jay2 Baada ya kutoa single ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz mwezi April, hivi karibuni ameachia audio ya single nyingine inayoitwa ‘Tatu Chafu’.

Licha ya kuwa video ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyoshoot na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level mwezi uliopita (July) bado haijatoka, tayari ameanza kushoot video ya single mpya ‘Tatu Chafu’ chini ya mwongozaji Hefemi.
Jay3 
 Kupitia Instagram Jay ameshare picha za BTS ya utengenezaji wa video ya
‘Tatu Chafu’
 
“Day one. .. Madirector na maproducer wetu tukiwawezesha WANAWEZA , Asante Mungu. .. #Hatuachii Gap #Nakung’ata mchana kweupeee kama MBU wa
DENGU #puna Nikupune #BACK2BACK MUZIK #STRICKLY HIPHOP #TheMastermind of the GAME #Nilimshawishi baba yako akuruhusu Uimbe. ..UNABISHA??? @hefemi @nkwabi1 @adamjumanxl @nisherbybee @majani187 @marcochalitz
@fresh120media” Aliandika Professor Jay
Jay1 
 “#TATUCHAFU video. …#MGodi unaotembea kwenye HIP HOP GAME #puna nikupune #Hatuachi gap tena mpaka waombe POOH #MWANALIZOMBE #Video directed by @hefemi Three Locations to GO. #God is great!!! “Aliandika 
Jay5 
 “Day one…. #TATUCHAFU Video in the making. .. ASANTE MUNGU kwako hakuna kinachoshindikana.. . Two locations down , Three to go!!! Work work work”.  Aliandika kwenye moja ya picha.
Jay4
CREDIT:-BONGO5.COM

0 maoni:

Post a Comment

Labels