Pages

Thursday, August 14, 2014

NICKI MINAJ ATAPERFORM WIMBO WA "Anaconda" KATIKA MTV VMAs 2014


Nicki Minaj
Imetangazwa kuwa Msanii wa YMCMB Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj Atafanya Performace ya Wimbo wake Mpya ANACONDA kwenye MTV VMAS.

Tuzo hizo zitafanyika Agosti 24 2014 huko Inglewood, CA.,Wasanii wengine watakao ungana na Nicki Minaj katika Performance ni Usher Raymond,Ariana Grande,Beyonce na Wengine Wengi. Beyonce pia Atapokea tuzo ya Michael Jackson Video Vanguard katika tukio hilo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels