Pages

Wednesday, August 13, 2014

TANAH WA TANCHY AMESEMA USHABIKI WA MADJZ NA WATANGAZAJI KATIKA MUZIKI UMEKUWA UKIRUDISHA NYUMA MUZIKI WA BONGO





Ushabiki wa Baadhi ya Madjz na Watangazaji kwenye Muziki Umekuwa Kikwazo kikubwa katika kukua kwa Muziki wa Tanzania,Msanii Tanah wa Tanchy amesema Hayo wakati wa Mahojiano na Ergon Elly Mtangazaji wa Kituo cha Redio Mbeya Highlands Fm.


Wasanii wengi wamekuwa wakitumia Gharama Kubwa katika Kukamilisha Ndoto zao katika Muziki lakini hata kazi zao zikiwa nzuri hazipewi AirTime kutokana na Ushabiki wa Djz na Watangazaji.
 



0 maoni:

Post a Comment

Labels