Pages

Tuesday, August 05, 2014

STUDIO MPYA YAKUREKODI MUZIKI JIJINI MBEYA YAANZISHWA

Baada ya Miaka kadhaa iliyopita kufanyia kazi zake za Muziki Nyumbani sasa CEO na Producer wa Studio yakurekodi Muziki BEATS BANK MUSIC NACHB Amehamishia Studio hiyo Maeneo ya MamaJohn Mkoani Mbeya.

Tayari Studio Iko na Mwonekano Mpya na Imeishaanza kufanyakazi kama kawaida na Hizi ni Baadhi ya Picha wakati wamatengenezo na Mpaka Kukamilika.



Picha na Dj Speed | Highlands Fm

0 maoni:

Post a Comment

Labels