Pages

Tuesday, August 05, 2014

NEW SONG | SUMA MNAZALETI F| ROMA - MNAZALETI,MKATORIKI (Prod by Mesen Selekta)


Mara Baada ya kuandikwa kwa Habari nyingi kuhusu Ujio wa Wimbo Wa Msanii Kutoka Kigoma SUMA MNAZALETI F| Rapper ROMA sasa SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA Wimbo Huo Uliopewa jina la MNAZALETI,MKATORIKI.
DJ Speed wa Highlands Fm (Kushoto),Suma Mnazaleti (katikati) na Ergon Elly Mtangazaji wa Kipindi cha Mchana HOT SHOW | Highlands Fm wakati wa Kutambulisha Wimbo Huo Mpya Alhamis ya Tarehe 31 Julai 2014.


0 maoni:

Post a Comment

Labels