Baada ya Kukaa Kimya kwa Muda Mrefu na kupokea maswali mengi kutoka kwa Mashabiki wa Muziki wake The Hit Maker wa NESA NESA Fidodido Ametangaza Ujio wake Mpya na Mtindo Mpya kabisa wa Utoaji Nyimbo.
SEMA SUU Ni
Ujio wake Mpya na Wimbo Huo Unatengenezwa katika Studio ya AM Records,Wimbo
Bado Unapikwa na Amemshirikisha Msanii mwenzake wa Manzese NEY WAMITEGO.
Fido Amesema sasa amepata Usimamizi Mpya mbao Utamfanya Atoe nyimbo nyingi zaidi kuliko kipindi cha nyuma
Fido akielezea Ujio wake wakati wa Mahojiano na Ergon Elly wa Mbeya Highlands Fm na C.E.O wa ELLY BLOG
Picha Na Dj Speed | Mpiga Picha wa ELLY BLOG
0 maoni:
Post a Comment