Pages

Wednesday, August 06, 2014

NEW SONG | SAUTI FROM EAST - BEAUTIFUL | VERY HOT

Wimbo Mpya Kutoka kundi la Muziki Jijini Mbeya SAUTI FROM EAST | Wimbo unaitwa BEAUTIFUL SIKILIZA na DOWNLOAD HAPA

Sauti From East Ni kundi Jipya la Muziki Nchini Tanzania na Maskani yake ni MBEYA,Linaundwa na Watu watatu ambao ni  CHRIS DANIEL,CHRIS RINGSON na KINGSON .

Kazi zao zote zinafanyika katika Studio ya Elshadai na Producer akiwa ni KINGSON. 

0 maoni:

Post a Comment

Labels