Pages

Wednesday, August 22, 2012

BI KIDUDE ANAUMWA,MJUKUU WAKE ALALAMIKA KUWA HANA MSAADA




Taarifa kutoka Zanzibar zinadai kuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini Bi. Kidude anaumwa na hana msaada wowote.

Inadaiwa kuwa mjukuu wake alizungumza na televisheni ya Zanzibar na kulalamika kuwa bibi yake hana msaada na hivyo kumuuguza kwa shida.

Taarifa zaidi zinasema Bi. Kidude anaumwa tangu wiki iliyopita.

0 maoni:

Post a Comment

Labels