Pages

Tuesday, August 28, 2012

CYRILL KAMIKAZE KWENYE SWAG LA POKER KID GOT CASH



Unamtafuta mfalme wa swag Bongo? Why not look for this guy? Jina lake ni Cyrill Francisco aka Kamikaze. Yupo kwenye kundi la Hip Hop liitwalo Wakacha. Lakini pia kwakuwa jamaa amejaaliwa katika ile sekta ya kutupia pamba kali ana kundi lake na washkaji wenye interest moja za kunyuka bling liitwalo Coders!

Kamikaze is living large! And now look what he is up to!! If you have money, it’s easy to transform Dar es Salaam into Las Vegas. Keep doing your thing son! We love that poker swag!!

0 maoni:

Post a Comment

Labels