Pages

Friday, August 31, 2012

BEN POL ASITISHA KUFANYA COLLABO


 
 Ben Paul
Msanii anayeondoka na style za Rnb hapa bongo huyu si mwingine namzungumzia  Ben pol.

Msanii huyu amesitisha kufanya collabo na wasanii mpaka amalize project ya nyimbo yake inayofahamika kwa jina la Pete.kwani ameeleza kwamba utakuta anatumia muda mwingi sana katika kufanya collabo na wasanii wa hapa nchini na hicho ndicho kinachomfanya asimalize project zake. 

kwa hiyo amesitisha kwanza mpaka amalize project yake ya pete ndipo atachukua uamuzi wa kufanya collabo na wasanii.

Hayo ndiyo maneno ya Ben Pol akifunguka kuhusiana na sababu za kutokufanya collabo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels