Pages

Thursday, August 23, 2012

SHARO MILIONEA AVUTA MKOKO WA MILIONI 15


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 Nani kasema kazi yakuchekesha hailipi? inalipa na ina soko kubwa sana. 
 
mkali wa comed na kuimba tanzania sharo milionea amenunua gari lenye thaman ya shilingi milioni 15 za kitanzania aina ya Oper.
 
kama kawa nyumba kaipata chata ya kitambulisho chake ya kuchekesha cha oooooh maaamaa!

0 maoni:

Post a Comment

Labels