Pages

Thursday, September 26, 2013

AUDIO:-KIONJO:- JCB FT. PROF. JAY - DRIVE SLOW

Hiki ni kionjo cha ngoma mpya ya rapper JCB Makallah kutoka kundi la Watengwa ambalo maskani yake kubwa ni mjini Arusha. 

Ngoma hii inakwenda kwa jina la DRIVE SLOW, ambapo ndani ya ngoma hii JCB amemshirikisha The Heavy Weight Mc maarufu kama Prof Jay.
SIKILIZA HAPO CHINI 

0 maoni:

Post a Comment

Labels