Pages

Tuesday, September 24, 2013

CASH KINGS 2013 WASANII WA HIP HOP WENYE MKWANJA MREFU WATAJWA NA FORBES

Msanii wa kwanza ni P. Didy dola milioni 50.
Msanii wa Pili Jay Z dola milioni 43
Msanii wa  tatu Dre dola milioni 40
Msanii wa nne Nick Minaj dola milioni 29
Msanii wa tano Birdman dola milioni 21
Msanii wa sita Kanye West dola milioni 20
Msanii wa saba Lil Wayne dola milioni 16.

Msanii wa nane ni Wiz Khalifa dola milioni 14 na wa tisa ni Luda Criss dola milioni 12.


0 maoni:

Post a Comment

Labels