Pages

Monday, September 23, 2013

HAPPY BIRTHDAY Z ANTO


Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi Fanya poa na Nyimbo zake kama Mpenzi Jini,Binti Kiziwi,kisiwa cha Malavidavi nazingine kibao Si mwingine ni Z Anto Leo Anaadhimisha siku yake yakuzaliwa akiwa ametimiza Miaka 25.

0 maoni:

Post a Comment

Labels