Pages

Monday, September 30, 2013

CHEREKO CHEREKO YA CPWAA KUACHIWA RASMI OCTOBER MOSI 2013



"Chereko Chereko" ni ngoma mpya ya mwanamuziki maaufu kwa jina la Ilunga Khalifa a.k.a Cpwaa "The King Of Bongo Crank", ambayo inatarajiwa kuachiwa siku ya kesho ambayo ni itakuwa October 1.

Cpwaa anatarajia kuachia ngoma hiyo katika radio stations tofauti za hapa nchini pamoja na kwenye Social medias.

Ngoma hii ya Chereko Chereko ambayo imebeba mahadhi ya Afro Dance imefanywa ndani ya Studio ya De Fetality Music chini ya Producer Mensen Selector.

0 maoni:

Post a Comment

Labels